Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja.
kwanini ni ghali, au kilimo chake...
Wakuu habari.
Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi.
Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga.
Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram
Nitashukru sana nikipata huo msaada
Niaje wakuu.
Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.