hoja

  1. Malengo ya Elimu ya Tanzania ni mawili, 1. Tunasoma ili tufaulu mitihani, 2. Tunasoma ili tuajiriwe. Njoo ubishe kwa hoja

    Habari! Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa . Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
  2. S

    Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

    Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga. Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
  3. R

    Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  4. I

    SoC03 Miradi ya kimkakati wilayani Chato na hoja ya Katiba Mpya

    Juni 2020 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo muswada wa sheria ya kuwapa kinga viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais na makamu wake,Jaji Mkuu pamoja na Spika na naibu wake ambao ilielezwa kwamba hawapswi kushtakiwa wakiwa madarakani na...
  5. S

    Kumbe walikuwa wanaumia na hoja ya kombe la looser ilikuwa ni kujifariji tu

    Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi? Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua. Niwaulize tu...
  6. Wasomi waliopo bungeni toeni hoja tuondokane na hoja za wahuni na wasema ovyo

    Inasikitisha kuona wasomi waliopo bungeni kukaa kimya na badala yake wanao-trend ni walioishia darasa la saba. Tukikubali kuzoea na kuaminishwa na huu utaratibu wa wanaojiita darasa la saba kujionesha kuwa ndio wenye points za kutetea jamii basi ni wazi taifa letu litapoteza muelekeo. Wabunge...
  7. Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

    Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai. Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
  8. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
  9. bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
  10. Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

    Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 . Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana...
  11. Maafisa utumishi ambao ni approvers wa HCMIS wasiendelee kusababisha hoja hii ya ukaguzi, imekuwa zaidi ya kero

    Wakuu, Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini; Matumizi...
  12. J

    Hoja za Kishingo special thread

    Salaam, Karibu kwenye uzi huu ambao utakuwa na hoja mbalimbali zinazoibuliwa na kishingo: Nini mtazamo wako?
  13. Makosa ambayo watu wengi hufanya katika kujenga au kujibu hoja humu jukwaani

    Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu. Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda. Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
  14. Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  15. Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
  16. Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  17. Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  18. Haji Manara akijenga hoja na kujipinga mwenyewe

  19. Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…