Habari!
Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa .
Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga.
Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.
Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
Juni 2020 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo muswada wa sheria ya kuwapa kinga viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais na makamu wake,Jaji Mkuu pamoja na Spika na naibu wake ambao ilielezwa kwamba hawapswi kushtakiwa wakiwa madarakani na...
Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi?
Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua.
Niwaulize tu...
Inasikitisha kuona wasomi waliopo bungeni kukaa kimya na badala yake wanao-trend ni walioishia darasa la saba.
Tukikubali kuzoea na kuaminishwa na huu utaratibu wa wanaojiita darasa la saba kujionesha kuwa ndio wenye points za kutetea jamii basi ni wazi taifa letu litapoteza muelekeo.
Wabunge...
Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai.
Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji
"Halmashauri ya...
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 .
Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana...
Wakuu,
Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini;
Matumizi...
Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu.
Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda.
Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa.
Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina.
Mbunge hajui hata...
Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali.
Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu.
Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
Picha: Spika Dkt. Tulia Akson
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu.
Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao
Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.