Habari wadau,
Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa.
Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge...