Imekuwa ni kawaida kuona taarifa za ongezeko la nauli za usafiri hasa mabasi yanayosafiri mikoani, lakini Serikali mara zote imekuwa ikitoa matamko kadhaa lakini kiuhalisia hakuna mafanikio kivitendo.
Mfano ukienda Kituo cha Magufuli vilio vya nauli kupanda vipi tena kwa wingi, ninachojiuliza...
Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa.
Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi.
Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo:
Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi...
UNYWAJI HOLELA WA DAWA BILA KUPEWA MAELEKEZO YA DAKTARI
Dawa mtu hupewa baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa fulani au ana dalili za ugonjwa fulani, baada ya kumuelezea daktari kwa undani na kufanyiwa vipimo kutokana na dalili alizozisema ila siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la unywaji...
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
UTANGULIZI
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
DC MWENDA APIGA MARUFUKU UPANDISHAJI HOLELA WA NYAMA, AAGIZA WAUZAJI KUUZA KWA BEI ELEKEZI YA SERIKALI- IRAMBA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaagiza wamiliki wa mabucha, wachinjaji na wauzaji wa nyama kuacha mara moja tabia ya kupandisha bei ya kitoweo hicho...
Ameandika Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe katika ukurasa wake wa Twitter. Nina Faham maumivu ya bei ya mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi basi na mimi binafsi ninajua kama mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira, msimu ujao wa kilimo...
Kuna mtu anajenga jengo linaloelekea kama ni kanisa. Jengo hilo liko jirani na nyumbani ya marehemu Apson aliyekuwa mkurugenzi wa TISS huko Mbezi Beach.Mj enzi wa hili jengo ana asili ya Nigeria na anajenga bila kibari katikati ya makazi sehemu isiyo rasmi kwa kanisa! Sehemu yenyewe...
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.
Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi...
Ukienda jijini Mwanza ukipita kwenye makazi holela unakuta vibao vimewekwa eti anwani za makazi, huku ni kupoteza pesa yetu bure. Unapita kwenye njia zilizochangamana mara umeibuka junction moja kimewekwa kibao cha anwani ya makazi.
Ushauri
Anzeni kwa kutuwekea mitaa inayoeleweka tumieni hizo...
Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu.
RC Makala: Ili...
Dodoma kwa sasa inaonekana imepangika kweli kweli.
Kwa asilimia kubwa imepimwa, ikifuatiwa na mkoa wa Pwani lakini upande wa kuanzia Bagamoyo.
Je, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa miji yote midogo na mikubwa?
Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’.
Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba.
Miongoni...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi.
Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
Ongezeko la saratani kwa wasichana latisha
TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI), imebainisha kuwapo ongezeko la saratani ya matiti kwa wasichana nchini, kunakochagizwa na matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango.
Imesema wasichana wenye umri kuanzia miaka 25 ndio kundi lililothibitika...
Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50
Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu.
Jiji hilo kupitia Idara ya...
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais...
Ulishawahi kusikia ujenzi holela?
Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti!
(Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!).
Hivi NEMC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.