hollywood

Hollywood is an American neighborhood in the central region of Los Angeles, California. Its name has come to be a shorthand reference for the U.S. film industry and the people associated with it. Many of its studios such as Columbia Pictures, Disney, Paramount Pictures, Warner Bros., and Universal Pictures were founded there; Paramount still has its studios there.
Hollywood was incorporated as a municipality in 1903. It was consolidated with the city of Los Angeles in 1910 and soon thereafter a prominent film industry emerged, eventually becoming the most recognizable in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. TANZIA Legendary actor Gene Hackman has sadly passed away at the age of 95

    Legendary actor Gene Hackman and his wife has sadly passed away at the age of 95. Rest in peace Gene Hackman. Oscar-winning US actor Gene Hackman, his wife Betsy Arakawa and their dog have been found dead at their home in Santa Fe, New Mexico. In a career spanning more than six decades...
  2. Lupita Nyong’o will cast as Athena in the movie Odyssey.

    Christopher Nolan’s Odyssey film will cast Kenya’s Lupita Nyong’o as Athena, leaving fans puzzled. Athena is the Greek goddess of wisdom, war, and oil. She is also the patron goddess of heroic endeavors. The city of Athens, Greece is named after her. In Greek mythology, Athena is often...
  3. R

    Tofauti ya Los Angeles, Hollywood na Sodoma na gomora ipo wapi?

    Salaam, shalom!! Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani , na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la Los Angeles na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora enzi zile Pana tofauti? Moto unaendelea kuchoma mji Ule , haujulikani chanzo chake Hadi sasa...
  4. Historia ya Hollywood

    Hollywood ni kitovu maarufu cha tasnia ya filamu nchini Marekani na duniani kote. Historia yake inaanza mwanzoni mwa karne ya 20. Hapa kuna muhtasari wa historia yake: 1. Mwanzo wa Karne ya 20 Katika miaka ya 1900, filamu zilianza kutengenezwa nchini Marekani, na Hollywood ilijitokeza kama eneo...
  5. Wapange kwa ubora wa 1 hadi 5 waigizaji hawa maarufu wa Hollywood

    Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
  6. TANZIA Mkongwe wa filamu za Hollywood, James Earl Jones afariki akiwa na Umri wa Miaka 93

    Mwigizaji James Earl Jones ambaye alipata umaarufu katika filamu nyingi ikiwemo Field of Dreams, Coming To America, Conan the Barbarian, na The Lion King amefariki Dunia akiwa na umri wa Miaka 93. Imeelezwa kuwa Earl Jones ambaye pia alisifika kwa kuingiza sauti katika filamu kadhaa ikiwemo...
  7. Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo Hollywood wa Israel.

    Wanaukumbi. Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo wa Israel: Adui alidai kulenga roketi 6,000 na drones na alikuwa na furaha kuzuia mashambulizi. Mawazo yao ya Hollywood hata yaliwafanya kudai kwamba walirusha makombora yetu mazito. Bila shaka, hakuna kati ya haya ambayo ni kweli. Muda...
  8. Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  9. Kwanini movie nyingi za mazombie Hollywood wanaigizia Las Vegas..!?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la Vegas na uwepo wa mazombie Baadhi ya movies ambazo setting yake ni Las Vegas Army of the dead (2021)...
  10. Movie nyingi za Hollywood ni za kinabii

    Naomba nikwambie kitu kimoja. Wanasayansi hawapendi sana muvi kwa kuwa zinatoa siri zao nyingi sana. Yaani ni bora hata vitabu kuliko muvi, hawazipendi mno. Wakati watu wanatengeneza muvi. Sisi Waafrika tunasema; "Hizo muvi tu uongooooo." Bro! Unaambiwa siri za dunia hii halafu unasema ni...
  11. Tupac Shakur: Rapper 2Pac to get star on Hollywood Walk of Fame

    "One thing we all adore, something worth dying for. Nothing but pain, stuck in this game. Searching for Fortune and Fame". Tupac Shakur is to receive a star on the Hollywood Walk of Fame, 26 years after the rapper's death. The hip-hop star will be honoured with a ceremony on the prestigious...
  12. EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

    Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na...
  13. HOLLYWOOD MOVIES: kwa nini huwa wanaweka filter za rangi za ajabu ajabu hasa kwenye scenes au movies zinazohusu Africa, India, .......?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
  14. Majina 963 marufuku kuingia Urusi, staa wa Hollywood, Morgan Freeman naye ni mmoja wao

    Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa Marekani, Joe Biden na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg pia kuna muigizaji wa Hollywood, Morgan...
  15. Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

    Russian oligarch Roman Abramovich is reportedly begging his rich friends including Hollywood director Brett Ratner for £765,000 ($980,000) loans to help him pay his staff after being sanctioned by London and Washington, US sources have claimed. The Chelsea Football Club owner, who has been...
  16. Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

    Hili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini nimekuwekea list ya baadhi ya movies ambazo nimeziona ziko hovyo mwaka huu 2021.. unaweza kuongezea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…