Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Wakuu leo ni jumapili,
Nimepumzika zangu, nikawa nacheki video za zamani za wasanii wa mbele.
Ghafla ikaja video ya Liberian Girl ya Michael Jackson.
Ni video flani hivi haichoshi kuitazama namna ilivyopangiliwa matukio yake.
Ni video ambayo leo imenikumbusha kitu ambacho sikuwahi kukitilia mkazo.
Ni video ya mwaka 1988 kama sijakosea, ndani yake ina mastaa wengi sana wa miaka hiyo ya 80 huko Hollywood na Marekani kwa ujumla. Mastaa hao ni wanamuziki, wana filamu, maproducer nk
Baadhi yao ni kama vile;
Beverly Johnson (Mwanamitindo na mwigizaji)

- Malcolm-Jamal Warner (Mwigizaji kutoka The Cosby Show)
- Sherman Hemsley (Mwigizaji maarufu wa runinga)
- Mayim Bialik (Mwigizaji aliyekuwa mtoto wakati huo, anayejulikana sasa kwenye The Big Bang Theory)
- Brigitte Nielsen (Mwigizaji na mwanamitindo)
- Paula Abdul (Mwimbaji na mwandishi wa choreografia)
- Carl Weathers (Mwigizaji wa Rocky na Predator)
- Whoopi Goldberg (Mwigizaji mkubwa wa Hollywood na mshindi wa Oscar)
- Quincy Jones (Producer mkubwa wa muziki aliyetengeneza albamu za MJ)
- Jackie Collins (Mwandishi maarufu wa riwaya)
- Jasmine Guy & Rosanna Arquette (Waigizaji)
- Billy Dee Williams (Mwigizaji wa Star Wars - Lando Calrissian)
- Lou Diamond Phillips (Mwigizaji)
- Olivia Newton-John & John Travolta (Mastaa wakuu wa filamu ya Grease)
- Corey Feldman (Mwigizaji na rafiki wa karibu wa MJ)
- Steven Spielberg (Mwongozaji mkubwa na maarufu wa filamu duniani)
- Debbie Gibson (Mwimbaji wa Pop)
- Blair Underwood & Rick Schroder (Waigizaji)
- "Weird Al" Yankovic (Mwanamuziki wa vichekesho)
- Suzanne Somers (Mwigizaji)
- Lou Ferrigno (Mwigizaji wa The Incredible Hulk wa zamani)
- Don King (Promota mkubwa na maarufu wa ngumi)
- Virginia Madsen (Mwigizaji)
- David Copperfield (Mcheza madoido/Mchawi maarufu wa jukwaani)
- Richard Dreyfuss (Mwigizaji mshindi wa Oscar)
- Danny Glover (Mwigizaji maarufu wa filamu za Lethal Weapon)
- Olivia Hussey (Mwigizaji)
- Dan Aykroyd (Mwigizaji wa Ghostbusters)
- Steve Guttenberg (Mwigizaji wa Police