Honda stepwagon,ninavutiwa na muonekano wake .
Kama kuna mtu anaitumia humu anaweza kutupatia uzoefu wake na pia changamoto zake kama zipo lakini pia upatikanaji wa vipuri kwa hapa Tanzania ukoje ukizingatia hapa nchini wengi wanapendelea magari ya Toyota.
Karibu kwa yeyote mwenye taarifa...
Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel.
Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo.
Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo:
Engine: 1.5L SkyActiv-D diesel engine, inatoa power ya 105 hp
Transmission: 6-speed manual au...
Msaada nina honda fit first generation, gari inamiss na kuishiwa nguvu kisha inazima na kuwaka taa ya check engine na taa ya betri baada ya muda inawaka , changamoto inaweza kuwa nini wajuzi na wazoefu
Nilipotazama feni ya ac haiwaki,ila feni ya engine inawaka fundi akanishauli nisitumie ac...
Habari wakuu.
Jana kampuni za magari ya Honda na Nissan zilifanya mazungumzo ya kibiashara na kuungana ili kukabiliana na ushindani uliopo kwenye soko la magari.
Muungano huu unalenga kutoa magari yanayoendana na teknolojia ya sasa yaani magari ya umeme(EV) na Autonomous cars (magari...
Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja.
Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
Wakali wa pikipiki kutoka Japan, Honda, wametuletea wadau wa pikipiki EV mbili, moja inaitwa EV Fun na nyingine EV Urban.
EV Urban itawahusu wale wapenzi wa scooter za kuzunguka nazo mjini au short trips, mfano kazini au shuleni au sokoni.
EV Fun ni kwa wapenzi wa sport bikes, kwa mara ya...
Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona Honda Prologue, N-VAN e na Ye Series EV, sasa wameleta all new 0 Series Saloon.
Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila soon itaanza.
Itakua na Level 3 ADAS, air suspension, na mazaga kibao.
Kilichovutia wengi zaidi ni...
Kampuni mbili kutoka Japan, Sony na Honda, wameungana kutengeneza joint venture inayoitwa Sony Honda Mobility kwaajili ya kutengeneza magari ya umeme (EV) yatakayoenda kwa jina la AFEELA.
Chuma ya kwanza imeshatoka, ni sedan, na kusema kweli inavutia. Ukiiona ni kama Lucid Air lakini hapana...
Wakuu.
Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana.
Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi yake ipo. Karibuni tufanye biashara
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit
Asante
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019.
Natamani sasa kupata Gari nyingine na hasa safari hii natamani gari tofauti na Toyota
Macho yangu yameona HONDA ROADCROSS KImuonekano...
Kibongo bongo, Toyota hana mpinzani kwa idadi ya magari na "kuaminiwa" na watu. Ila sasa kwa gari "imara" used kutoka Japan, Toyota brand ndio inaweza kuongoza, ikifuatiwa na Honda namba tatu wacha wagombanie wakina Nissan, Suzuki na Subaru.
Sasa kwa upande wa best selling sedans kuna bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.