Watu 35 wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya dereva aliyejaa hasira kutokana na kutoridhika na makubaliano ya talaka ya mgawanyo wa mali kuendesha gari lake kwa makusudi kwenye kundi la watu waliokuwa wakifanya mazoezi katika kituo cha michezo cha Zhuhai, mji mmoja wa China.
Tukio hili...
Inakuwaje ndani ya nchi moja wao kuwa na kauli ya "nchi yetu" wakati nchi ni China.
Na hii hata hapa Tanzania wenzetu hawa Wazanzibari na kauli zao za kusema "nchi yetu" inakera sana!
Kwa hiyo kumbe Rais Samia ametoka nchi nyingine ya Zanzibar kuja kuitawala nchi nyingine ya Tanzania...
Aliyekuwa mbunge na mwanaharakati wa demokrasia Nathan Law ni miongoni mwa watu sita ambao pasipoti zao za Hong Kong zimefutwa na serikali.
Serikali ya Hong Kong leo Jumatano, Juni 12, 2024 imesema kwamba imefuta hati za kusafiria za wanaharakati sita wa kidemokrasia walioikimbilia Uingereza...
Kumekuwa na matukio ya Watanzania wanaosafiri kwenda Hong Kong kuzuiliwa kuingia au kuhojiwa kwa muda mrefu na maafisa wa Idara ya Uhamiaji ya Hong Kong katika uwanja wa ndege wa Hong Kong.
Hali hiyo imejitokeza zaidi katika kipindi cha hivi karibuni tangu Hong Kong ifungue mipaka yake kuruhusu...
Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7
Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya...
Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi China, ikiwemo maonyesho ya taa za LED.
Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
Tarehe 9 Juni 2022, mradi wa nguo za mitindo "Juxtaposed 2022 FASHION META" ulioandaliwa na shirikisho la wabunifu wa nguo za mtindo wa Hong Kong ulifanyika na kusherehekea kumbukumbu ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa eneo maalumu la Hong Kong.
Mei 29, 2022, Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong
Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong lililoko magharibi mwa wilaya ya kitamaduni ya Kowloon Magharibi, litafunguliwa mwezi Julai mwaka huu na kuonyesha vitu vya kale kutoka kwa Jumba la Makumbusho ya Kasri la...
Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo
Mbali na marufuku hiyo, Mamlaka zimetangaza kufungwa kwa sehemu za kuogelea, baa, klabu, makumbusho na vituo vya michezo...
Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu.
Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha Stand News wiki iliyopita, ambapo watu kadhaa walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi.
Sheria mpya...
Polisi imewakamata watu 6 kutoka Tovuti ya Habari ya Stand News kwa tuhuma za njama ya kuchapisha machapisho ya uchochezi. Ofisi ya Tovuti hiyo imevamiwa na zaidi ya Maafisa 200
Polisi wamesema waliidhinishwa kutafuta na kukamata nyenzo muhimu za Habari. Mapema mwaka huu, Polisi walivamia...
Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa.
Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya miaka 40 imesema Sheria hiyo inafanya Mashirika ya Haki za Binadamu yaliyo Hong Kong kushindwa kufanya...
Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria mpya ya faragha.
Mamlaka zimeainisha mipango ya kupitisha Sheria mpya inayolenga kitendo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.