Nianze kwa kukusalimu kwa salamu nzuri inayohamasisha ufanyaji kazi katika hali na juhudi kubwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".
Siandiki bandiko hili nikitarajia ujira wowote katika kuandika haya na wala siandiki hili kwa kuwa tunatokea Tanga tena mwahako bali naandika kama raia mwema...
Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi.
Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai...
Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee?
Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
Nimefurahi sana baada ya malalamiko yaliyotolewa hapa kuhusu Wanafunzi kutokufunga shule wakati wa Likizo.
Nimeona barua ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kitengo cha Udhibiti Ubora wakizataka shule hizo kutoa maelezo kwa nini hawakufunga shule.
Nikiwa kama Mwalimu kitaaluma naungana...
Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna...
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Kwa kweli huyo mama anafanya yake.
=========
The government will ratify the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) between June and October this year, it was heard in Dar es Salaam yesterday.
The document will be taken to Parliament for ratification upon getting the endorsement of the...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa
Katika mazungumzo hayo muhimu yaliyofanyika Ikulu pamoja na mambo mengine walijadili maendeleo ya Mradi wa...
Amani iwe nawe Mama yetu!
Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi.
Leo badala ya kukushauri, napenda sana kukupongeza kwa hatua ulizochukua dhidi ya Corona.
Moja ya sifa kuu za kiongozi mzuri ni kuwa anatakiwa...
Kwa heshima na taadhima, nakupongeza na kukushukuru sana Maxence Melo kwa kubuni jamvi hili zuri na kulisimamia vema tangu ulipolianzisha miaka mingi iliyopita.
Nakuvulia kofia, Mkuu. Mimi binafsi nimepata faida nyingi sana humu. Kupitia jamvi hili nimeelimika kisiasa, kiafya, kibiashara na...
Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT.
Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki.
Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh...
Ndugu Anthony Mtaka,
Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar.
Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa.
Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache:
Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni.
Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni.
Mama umenikosha sana.
Amani iwe nanyi wadau,
Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
Kulikua na tetesi kwamba RC wa Tanga Martin Shigela angekua katibu mkuu wa CCM ili kuziba nafasi ya Bashiru Kakurwa. Baada ya tetesi hizo inasemekana chamani hapo Tanga ilikua ni pokopoko na nong'onong'o na vijiweni kwa jamaa au washikaji wa mtajwa wakaanza kutembea vifua mbele na mabega juu...
Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi.
Utezi wa Dkt. Bashiru na Hamphrey Polepole katika kukiongoza Chama cha Mapinduzi ulirejesha matumaini mapya kwa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.