Mganga Mkuu wa Manispaa ya Singida, Dkt. Godfrey Andrew ameeleza kuwa Halmashauri ya Manispaa hiyo imetenga fedha kiasi cha Tsh. Milioni 800 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya maboresho ya miundombuni.
Ameeleza pia kutakuwa na maboresho ya njia zinazounganisha majengo katika Hospitali ya Manispaa...