Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti.
Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Habari za Asubuhi wakuu
Leo nimejiimu mapema nikamwone Mgonjwa Hospitali ya wilaya ya Nyamagana Mwanza ..
Cha ajabu nimezuiliwa na walinzi kwamba mtu anayeruhusiwa kuingia ni Mwenye chakula cha mgonjwa tuu ili kuepuka maambukizi ya ebola
Swali langu limekuja je serikali imeshatoa tamko...
Siku chache baada ya uongozi wa Hospitali ya Bugando Mwanza kuelezea kadhia wanayoipata kutokana na vijana kuulizia iwapo wananunua figo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa Dk Alphonce Chandika naye leo Jumatatu Machi 13, 203 ameeleza kuwepo na wimbi la vijana...
Mwenyekiti wa Mtandao wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Andrew Swai, ameyataja baadhi yanayosumbua Watu wengi kuwa ni pamoja na #Kisukari, #Saratani, Magonjwa ya #Akili, #Figo, #Macho na Shirikizo la Damu.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Paschal Rugajo, sababu kuu za...
Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza.
Matatizo ya mtoto Nassoro...
Gwiji wa Brazil Pele ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupata matibabu ya uvimbe na maambukizi ya mfumo wa mkojo.
Mshindi huyo Kombe la Dunia kwa mara tatu, mwenye umri wa miaka 81, alilazwa katika Hospitali ya Sao Paulo Albert Einstein tarehe 13 Februari, kwa ajili ya matibabu ya uvimbe...
Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu.
Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani.
Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii.
Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa Nhelegani katika Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kubaka.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Aprili 17, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, tukio hilo...
Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kumshushia kipigo mkewe, Philomena Toima mpaka kufikia hatua ya kukimbizwa hospitalini kupatiwa matibabu.
Tayari suala hilo limeshatinga polisi ambapo mwanamke huyo alifika katika kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.