Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza.
Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia kuanzia 120,000 - 160,000/yr).
Kutokana Na Kupata Kazi ambayo itanibana na Kushindwa kutoa support...