Kampuni nzuri inayoaminika inayotoa huduma za hosting, domain na cloud server hapa Bongo

Kampuni nzuri inayoaminika inayotoa huduma za hosting, domain na cloud server hapa Bongo

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
512
Reaction score
484
Nalileta kwenu wataalam,

Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa huduma.

Ingawa mtoa huduma huyo wa nje hana longolongo ila nataka kuepuka usumbufu mkubwa niliopata kipindi hiki.

Naomba mawazo yenu je ni kampuni gani nzuri hapa bongo inayotoa huduma vizuri ubabaishaji.
hosting
 
Kwa Domain
1. Dudumizi
2. RouteAfrica

kwa hosting check na hizi
1. Datalab - Vingunguti
2. Vodacom - Victoria Makumbusho
3. Liquid Intelligent- Ohio Street Dar
4. Habari Node - Arusha

Kwa mpangilio wa ubora wa huduma
Endelea......
 
Back
Top Bottom