Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
Habari wana if
Nauza simu yangu
infinixy hot 9 PLAY aina tatizo lolote
Ni:
2ram
32Gb
4g
Line 2
Camera ni 8 mbele nyuma 13
Uwezo wa better ni 6000MAH
Simu ni yangu mwenyewe naiuza
195,000 maongezi tunaongea nipo dar es salaam Chanika
Namba zangu za WhatsApp au kupiga 0756774813
Asante
WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Full name
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund
Nickname(s)
Die Borussen
Die Schwarzgelben (The Black and Yellows)
Der BVB...
Wakuu habari zenu,
Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp
Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna...
Habari nimeona ni share na nyinyi hii,
Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na...
Naomba kuuliza, je Tanzania tuna visima vya maji ya moto vya asili vingapi?
Mimi najua kuna Majimoto iko Katavi na Majimoto iko Serengeti ila nasikia kuna nyingine iko Manyara na nyingine Moshi, sasa sina hakika kuhusu hizo mbili za Manyara na Kilimanjaro maana hii nchi hizo taairfa haziko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.