Wana Jf habari za kutwa nzima ya leo wakuu!
Wadau kuna kitu hapa sielewi natamani wajuzi wanisaidie huenda hofu na mashaka vikaniondoka.
Wiki hii tangu ianze 04/03/2024, hadi siku ya leo 08/03/2024, imekuwa ni wiki ya u busy sana wa misafara ya kila mara ikitoka na kuingia si asubuhi, si...
Habari za humu Jumba la Melo!
Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo.
Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
Habari za muda huu wadau.
Pole kwa majukumu
Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel.
ningependa kujua kuhusu;
-jinsi ya kuandika business plan na proposal
-location kwa mkoa wa dar
- mtaji kiasi gani kwanzia kiwanja, kujenga, na all necessary equipments.
-risk zitokanazo na...
Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo.
Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii.
Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji.
Serikali itambue wajibu wake, sio kujenga barabara za mitaa za Makao Makuu ya Halmashauri na Kijijini wanakuachia.
Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na;
Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.
Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.
Asante.
NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya...
Habari wote,
Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems).
Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako.
Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
Habarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Habari Wanajf!
Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden. Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa naperuzi ipi nichukue.
Macho yangu yakatua kwenye Grilled Fish! Basi nikamwambia niletee hii pamoja...
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.
Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
Position: Hotel Supervisor
Start Date: 9/30/2023
Salary: Negotiable
Job Type: Full Time
Location: Moshi
Responsibilities
Supervise work at all levels (receptionists, kitchen staff,.) and set clear objectives.
Plan activities and allocate responsibilities to achieve the most efficient...
Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136
==============
Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo.
2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa...
Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park.
2. Wakitoka National...
Habarini Wakuu,
Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara.
Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.