hoteli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni Nini tofauti kati ya Guest house, Lodge, Hoteli na Motel?

    Wakuu ebu nipeni majawabu kujifunza hakuishi. karibuni
  2. Ofisi ya CHADEMA Mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwanini wanaranda randa katika kumbi za hoteli za kifahari, wakati wanasema hawana hela?ufisadi?

    Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga? Chadema, tumieni...
  3. T

    Mpishi wa Hoteli anahitajika haraka

    Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au...
  4. Hoteli na Migahawa ya siku hizi imekaa kimchongo sana yaani hawataki kuandika menyu kabisa!

    Kwanza enzi hizo tulizoea jina moja tu la hoteli. Hili neno mgahawa lilikuja kama jipya/geni hivi na tukazoea taratibu kwahiyo hapa nitatumia neno mgahawa au hoteli kumaanisha kitu kimoja. Sizungumzii makitu makubwa makubwa hapa nazungumzia vimigahawa vya kawaida vinavyopatikana uswahilini...
  5. D

    Hoteli maeneo ya mwenge au kigamboni darajani

    Anaejua hoteli nzuri maeneo ya mwenge au kigamboni darajani kuanzia 50k anitajie
  6. Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

    https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton. Huyo CEO ni Brian Thompson. Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea...
  7. Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  8. Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

    Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini. Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk. Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika. Mara...
  9. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, ameongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoni humo

    Septemba 22, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, aliongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoani Ruvuma. Kikao hiki kilifanyika kama sehemu ya maandalizi ya kuimarisha sekta ya utalii, hasa wakati huu ambapo mkoa unasherehekea Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni...
  10. W

    Mmiliki wa Hoteli za Pilipili- Zanzibar anatafutwa kwa kosa la Udanyifu Poland

    Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa kutoa ahadi za mapumziko ya kifahari kwa raia wa Poland, ambazo ni za uongo Mamlaka za ndani zimedai...
  11. Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  12. Ni kwa namna gani wamiliki wa Hoteli na Airbnbs, wanaweza kusaidia kupunguza mauaji ya Wanawake?

    Wakuu, Miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuongoza kwa kutokea matukio ya Mauaji ya Wanawake Afrika ni kwenye gesti, hoteli na katika miaka ya hivi karibuni Air Bnbs. Sasa, swali ni je? Wamiliki wa maeneo hayo wanaweza kuchukua hatua gani za kiusalama ili kupunguza matukio haya? Karibuni kwa mjadala
  13. B

    Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  14. Kujenga hoteli ya kifahari kwenye roundabout

    Wakuu kwema, Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani. Naanzia wapi kupata vibali?
  15. Hoteli za Morena na Huduma Mbovu

    Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA. Huduma zenu ni mbovu sana na za...
  16. Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

    Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali? Pia bila kusahau TANESCO...
  17. R

    Huwa unakagua usafi sehemu unayoenda kupata chakula?

    Wakuu weekend inaendaje? Usafi ni muhimu kila sehemu, na linapokuja suala la chakula mkazo zaidi unahitajika, maana ukizembea kidogo tu unaweza kuathiri vibaya walaji wako hata kupelekea kifo uchafu aliokutana nao hapo ni mkubwa na kutengeneza sumu kali. Umeshawahi kukagua sehemu unayokula...
  18. D

    Vitanda vya hoteli

    Habari zenu wakuu, niliwahi kulala kwenye hoteli moja jijini mwanza ambayo ni miongoni mwa hoteli kubwa jijini mwanza kitu nilichovutiwa nacho ukiachilia mbali mambo mengine ni kitanda kwani hakikuwa vile vitanda nilivyozoea kuviona, nikianza kwenye kitanda chenyewe ni kirefu siyo ile futi 6...
  19. R

    Hoteli ya The Nest Zanzibar yawaka moto

    Hoteli ya The Nest iliyoko Paje Zanzibar yawaka moto, na kwa mujibu wa mashuuda ni kuwa moto huo umesambaa kwa hoteli ya jirani ya inayoitwa Maisha Matamu na unaelekea kusambaa ya tatu! Zimamoto wamechelewa kufika huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani.
  20. U

    Kuna Hoteli yeyote ya nyota tano maeneo ya Mbagala?

    Wasau hamjamboni nyote? Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano? Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko. Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…