Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikikerwa na hili jambo.
Bei ya chakula cha hizi hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa lakini naona mamlaka husika zimekaa kimya. Na hili naomba lisichanganywe na suala la wakulima kujipangia bei, msafiri sio mkulima ni mtu anayekuwa hana...
Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera
Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko
Pia amedai polisi...
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Pia soma...
Inaonekana South Afrika panalipa! Jamaa wamefungua hoteli yao ya pili kwenye Jiji la Jo'berg. Sisi tunaotarajia kuanza kusafiri safiri lazima tukatesti mitambo kuona yaliyomo kama yamo kweli!
Kiukweli inapendeza kuona uwezekezaji mkubwa hivi unafanyika katika sekta hii ya utalii na ukarimu...
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.
Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.