hoteli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  2. Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikikerwa na hili jambo. Bei ya chakula cha hizi hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa lakini naona mamlaka husika zimekaa kimya. Na hili naomba lisichanganywe na suala la wakulima kujipangia bei, msafiri sio mkulima ni mtu anayekuwa hana...
  3. UGANDA: Polisi waamrisha Hoteli zisiwape vyumba msafara wa Bobi Wine

    Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko Pia amedai polisi...
  4. Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

    DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...
  5. Hyatt Yatangaza kufungua Hoteli Mpya huko Cape Town, kuna watu kama nawaona

    Inaonekana South Afrika panalipa! Jamaa wamefungua hoteli yao ya pili kwenye Jiji la Jo'berg. Sisi tunaotarajia kuanza kusafiri safiri lazima tukatesti mitambo kuona yaliyomo kama yamo kweli! Kiukweli inapendeza kuona uwezekezaji mkubwa hivi unafanyika katika sekta hii ya utalii na ukarimu...
  6. Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…