Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania.
Sasa wakati wasikilizaji wakipigwa na butwaa na kauli ya Samia kuna jamaa yeye alikuwa mstari wa mbele kupiga makofi kwa nguvu...
GT
Labda mimi siyo mfuatiliaji.
1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea
2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba?
3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona
4. Press huitishwa tu endapo una maoni tofauti na hotuba vinginevyo ni kupotezeana mda
In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%.
Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya.
Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
GT
Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho.
Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa.
================
Gen-Z...
Usije na ngonjera kua kuna kijana kalipwa Billions ambazo hamna uthibitisho wake , na hakuna kijana alie ingia barabarani kwa kulipwa.
Vijana waliingia barabarani kwa saabu ya yafuatayo;
1. Watu kupotezwa sana, kuuawa na kutekwa kulizidi mtaani na hakuna majibu ya kueleweka
2. Baadhi ya wakuu...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama
Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma
Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu kamupuuza
Lakin naona kazimwa kabisa baada ya leo TEC kutoka na kutoa tamko lao
Samia Suluhu...
Habari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.
1. BAKWATA...
Nilishangaa Rais wa Zambia Hichilema kuchagua upande mapema na haraka sana .Na ikizingatiwa naye ni mzee wa fursa yaani mfanyabiashara kumbe wameshajitwalia TAZARA kwa bei ya jioni chini ya mwendeshaji binafsi.
Yaani tutakarabati ikishakuwa safi tunawakabidhi wapige pesa .
Sijui kama wenzangu...
Akizungumza leo kwenye uzinduzi wa hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hategemei kuona hema hilo linatumika kudanganya watu na badala yake anatamani kuona hema hilo linatumika kuhubiri Injili
"Sitarajii hema hili alisema vizuri mwanangu Tony kwamba...
Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan.
Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea?
Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini.
Pia...