hotuba ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa aliyekuwa akipigia makofi kwa nguvu kauli ya Samia ya kuchapa Wakenya na Watanzania ni nani?

    Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania. Sasa wakati wasikilizaji wakipigwa na butwaa na kauli ya Samia kuna jamaa yeye alikuwa mstari wa mbele kupiga makofi kwa nguvu...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaoita waandishi ili kupongeza hotuba ya Rais Samia ni vichaa?

    GT Labda mimi siyo mfuatiliaji. 1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea 2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba? 3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona 4. Press huitishwa tu endapo una maoni tofauti na hotuba vinginevyo ni kupotezeana mda
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa (Sheikh) ameichambua vizuri sana hotuba ya Samia kwa Wazee wa Dar.

  4. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hadi muda huu hotuba ya Samia kesho na wazee wa CCM Dar December 2 imeshaharibika. Gen Z watibua kila kitu

    GT Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho. Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa. ================ Gen-Z...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kwenye hotuba yako usije na watakayokumezesha wasaidizi wako, sisi wananchi tunataka kusikia HAKI

    Usije na ngonjera kua kuna kijana kalipwa Billions ambazo hamna uthibitisho wake , na hakuna kijana alie ingia barabarani kwa kulipwa. Vijana waliingia barabarani kwa saabu ya yafuatayo; 1. Watu kupotezwa sana, kuuawa na kutekwa kulizidi mtaani na hakuna majibu ya kueleweka 2. Baadhi ya wakuu...
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Samia imezimwa kabisa. Kama siyo Rais yaani, kama hajaongea kitu!

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu kamupuuza Lakin naona kazimwa kabisa baada ya leo TEC kutoka na kutoa tamko lao Samia Suluhu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia bungeni ilivyowaaibisha Masheikh, Mwamposa, BAKWATA, KKKT na kuwapa 'credit' TEC

    Habari ndugu zangu wanajamvi. Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga. Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe. 1. BAKWATA...
  10. UNSPECIFIED

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa H.Hichilema kuchagua upande mapema sana hotuba ya Samia leo imenifumbua macho

    Nilishangaa Rais wa Zambia Hichilema kuchagua upande mapema na haraka sana .Na ikizingatiwa naye ni mzee wa fursa yaani mfanyabiashara kumbe wameshajitwalia TAZARA kwa bei ya jioni chini ya mwendeshaji binafsi. Yaani tutakarabati ikishakuwa safi tunawakabidhi wapige pesa . Sijui kama wenzangu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sitarajii hema hili litakwenda kudanganya watu ila litakwenda kukaribisha Wakristo wapate Neno la Mungu

    Akizungumza leo kwenye uzinduzi wa hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hategemei kuona hema hilo linatumika kudanganya watu na badala yake anatamani kuona hema hilo linatumika kuhubiri Injili "Sitarajii hema hili alisema vizuri mwanangu Tony kwamba...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
Back
Top Bottom