johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Akizungumza leo kwenye uzinduzi wa hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hategemei kuona hema hilo linatumika kudanganya watu na badala yake anatamani kuona hema hilo linatumika kuhubiri Injili
"Sitarajii hema hili alisema vizuri mwanangu Tony kwamba litakwenda kudanganya watu wakati wote ila hema hili na kwa baraka za Mungu na radhi za mkuu wa nchi litakwenda kukaribisha Wakristo wapate Neno la Mungu ili waokolewe"
Ahsanteni sana 🙏