100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Sababu kubwa ya kuhudhuria ni ku balance mzani, hii issue ya Gwajima na waumini wake kukataliwa kusali kwenye kanisa imepelekea wakristo wengi kuona kwa sababu ushungi ni muslim basi ana chuki ya moja kwa moja na christians... hivyo kwa kufika kwa bulldozer ina balance flani kwamba yupo vizuri na wakristo....
Ujue issue za imani za watu ni kitu kingine, kwenda kufungua kanisa ni mambo ya kufanywa na mawaziri, pengine hata manaibu wa mawaziri...
Kunazidi kuchangamka..
Ujue issue za imani za watu ni kitu kingine, kwenda kufungua kanisa ni mambo ya kufanywa na mawaziri, pengine hata manaibu wa mawaziri...
Kunazidi kuchangamka..