NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Habari ndugu zangu wanajamvi.
Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.
1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.
Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.
2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.
Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.
3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu
(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.
Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!