PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia bungeni ilivyowaaibisha Masheikh, Mwamposa, BAKWATA, KKKT na kuwapa 'credit' TEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mbona unahangaika sana ewe mkatoliki?!!!!! Vipi, Raisi hajazungumzia fujo na uporaji wa Mali?!!!! TEC wako wamewahi hata kitamka hilo?!!! Wanapiga mbaaali huko na kujifanya hawaioni hilo (unafiki)
Tafuta hotuba ya 'TEC' siku Samia akiapishwa.
Halafu mimi sio mkatoliki ni muislam ambae siongozwi na mihemko ya kidini kwenye ukweli na haki.....
BAKWATA wote hawakuona maandamano wala mauaji.
BAKWATA hawajui kuwa katiba inahitaji mabadiliko ili ipatikane tume huru ya uchaguzi.
Hayati Ally Hassan Mwinyi alikuwa mbele ya muda.
 
Sheikh nenda shule kwanza.....
Nina uhakika nilipofikia. Mimi kielimunhuwezi.kupafika... nimesema na nimeweza kufanya analysis llnfiyonnikasema stupid post. Sikubahatisha kama wewe, uliyesoma theology then unajifanya umesema..
 
KKKT tumetoa Tamko Jana Mkuu..
Tulikuwa tunapima upepo kwanza..
Waliotia fora kwa kukera ni wale mashehe ubwabwa wa Bakwata na tapeli lililokubuhu Mwamposa. Hawa dec9 lazima tuwasalimie.
 
Nina uhakika nilipofikia. Mimi kielimunhuwezi.kupafika... nimesema na nimeweza kufanya analysis llnfiyonnikasema stupid post. Sikubahatisha kama wewe, uliyesoma theology then unajifanya umesema..
Analysis ipi?
Mwenyekiti wa chama/Samia anateua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu yeye anagombea uraisi?
Ulisikiliza hotuba za viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia?
Au umefanya uchunguzi ukagundua kuwa hakuna watanzania waliouwawa?
BAKWATA kazi mnayo.....
 
Vion
Habari ndugu zangu wanajamvi.

Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.

1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.

Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.

2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.

Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.

3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu

(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.

Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Viongozi wa hiyo imani ya waarabu wengi walikimbia umande. Kwa nyie Gen Z ukisikia mtu amekimbia umande ujue alikwepa kwenda shuleni kwa kisingizio kwamba njia imejaa umande hivyo hawezi kupita vizuri.
 
Habari ndugu zangu wanajamvi.

Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.

1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.

Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.

2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.

Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.

3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu

(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.

Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Hilo hitimisho linakuhusu na wewe, umesoma nyaraka za hayo madhehebu unayo bagaza?
 
Analysis ipi?
Mwenyekiti wa chama/Samia anateua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi halafu yeye anagombea uraisi?
Ulisikiliza hotuba za viongozi wa kidini siku ya uapisho wa Samia?
Au umefanya uchunguzi ukagundua kuwa hakuna watanzania waliouwawa?
BAKWATA kazi mnayo.....
Makubaliano na Muhesuimiwa Rais. Technically mtanzania hawezi kuchagua nchi yake .namba nikuulize Hii Katiba iliuokuwepo ameitinga Samia. Why wakayinwa Magufuli hamkufanya vurugu na ameitumia same Katiba ambayo Samia anayo hivi sasa. Kwa Sababu Magufuli alikuwa mwenzenu. Wakati wa magufuli mlikiwa hamfanyi utabiri na mahubiri ya kipuuzi.. Tulisheni mtalia Sana. Nakuhakikishia Samia anamaliza Miaka 5 na atakichagulieni Nani awe Rais ajae
 
Wasomi wa BAKWATA mnatia aibu hebu tafuta kuanzia Hayati Ally Hassan Mwinyi ishu ya katiba mpya ilianzia huko,kipindi cha Nyerere mara ngapi wanajeshi walitaka kumpindua?
Au Nyerere alikuwa muislamu?
Unajua kwanini Magufuli wakati flani aliacha kusali katika kanisa katoliki na akaenda KKKT ?
 
Habari ndugu zangu wanajamvi.

Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.

1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.

Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.

2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.

Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.

3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu

(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.

Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Mla nguruwe utaacha kutetea kitumbua chako ?
Kuna wizi nchi hii wanaotumia kivuli cha Dini kama TEC?

We mgalatia wa kanisa linaloruhusu ndoa za jinsia moja nakuuliza. Padri anapata wapi pesa za kuendesha gari ya milion 300 wakati wewe kondoo unajamba ovyo kwenye misa kwa kushindia maharagwe ya mbagala?
Kanisa katoliki limeshtukiwa na Samia ndio maana akaamua kuweka DP world bandarini ili yale makontena wanayodai yamejaa biblia yachekiwe. Matokea yake TEC wamepagawa.
Manina
Hapa bandarini tulikuwa tunaona makontena ya Kanisa katoliki si chini ya 200 kwa mwezi.
Leo hakuna zaidi ya 2 kqa mwezi.
Wizi kwisha.
Ndio maana mna sura mbaya ka nyani kaonja ukwaju.
Paka shume
 
Na serikali kila mwaka inawapa TEC bilioni 400 za kuendesha taasisi zao za afya na elimu,vipi nyie BAKWATA mnapewa hata bilioni moja kwa mwaka kuendesha madrasa zenu?
Kama TEC /wakatoliki walikuwa wanatumia bandari kwa biashara halamu kwa miaka zaidi ya 60 basi CCM haifai kuwepo madarakani.
Kama TEC /wakatoliki walifafanya uchafu huo vipi kuhusu rasilmali za nchi kama dhahabu, almasi,tanzanite n.k. zinalindwa kweli?
Hizo ni propaganda za CCM kwenye 'divide and rule' zikitekelezwa na BAKWATA.
Waislamu tunafahamu kwenye nchi hii waislamu hutumika kama 'condoms' na CCM chini ya BAKWATA ili iendelee kuwepo madarakani.
Kwanini BAKWATA hawamiliki vyuo na hospital kubwa kama za TEC?
Wapi mahakama ya kadhi,vipi kujiunga na OIC ni serikali ya chama kipi imezuia au haitaki mambo hayo muhimu kwa waislamu?
 
Back
Top Bottom