PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia bungeni ilivyowaaibisha Masheikh, Mwamposa, BAKWATA, KKKT na kuwapa 'credit' TEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwahiyo mkuu, point yako kubwa ni kwamba hizi dini ni utapeli? Au?

TUWEKE BAYANA. KAMA NYEUAS NI NYEUSI NA KAMA NYEUPE NI NYEUPE. YANINI KUZUNGUKA MITHIRI YA PIA IZUNGUKAYO ARDHINI?
Mkuu namaanisha wanatakiwa wawe wa kweli na wainenee haki sio kupendelea upande mmoja.
 
Habari ndugu zangu wanajamvi.

Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.

1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.

Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.

2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.

Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.

3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu

(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.

Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Mbona unahangaika sana ewe mkatoliki?!!!!! Vipi, Raisi hajazungumzia fujo na uporaji wa Mali?!!!! TEC wako wamewahi hata kitamka hilo?!!! Wanapiga mbaaali huko na kujifanya hawaioni hilo (unafiki)
 
Habari ndugu zangu wanajamvi.

Wakati naingia kidato cha kwanza miaka ishirini iliyopita wazazi wangu walifundisha umuhimu wa kusimamia ukweli hata kama darasa zima watanipinga.
Walinieleza kuwa itafika muda wanaokupinga watagundua ukweli na kwa aibu kubwa watakubaliana na wewe.

1. BAKWATA, KKKT, Masheikh, baadhi ya manabii na Mwamposa.
Hawa hawakutaka kabisa kuzungumzia maandamano na mauaji yaliyotokea,wao kila siku ni kumkingia kifua Samia hata kwa makosa ambayo yapo wazi.

Hawakutaka kuwaeleza ukweli waumini wao na watanzania kwa ujumla. Walizungumzia uharibu wa mali tu na kudai kuwa hakukuwa na maandamano bali ni vurugu tu.

2. Baraza la maaskofu (TEC).
Kama mnakumbuka vizuri wakati wa uapisho wa Samia walizungumzia uharibu wa mali, vifo na watu waliojeruhiwa kutokana na maandamano.

Wakaanda misa ya kuwaombea waliopoteza maisha yao na wakasema adhabu ya muandamanaji sio kifo. Wao wanaamini katika haki na kutafuta njia sahihi za kuzuia ghasia kama hizo zisitokee tena.

3.Hotuba ya Samia bungeni.
Samia amezungumzia mambo manne muhimu

(a) Alikubali kuwa kuna mali zimeharibiwa.
(b) Kuna watu wameuwawa na wengine kujeruhiwa.
(C) Maandamano yalikuwepo.
(d)Kuhitaji maridhiano.

Hitimisho.
Viongozi wa dini msiwe kama mazuzu au vilaza wa kupitiliza. Wapuuzi nyie, nyambafu!
Stupid post!
 
Samia siyo rais halali wa Tanzania, she is an illegitimate president. Rais haramu.
Binafsi simtambui kama rais wa nchi, whatever she says as far as I'm concerned is irrelevant.
 
Mimi ni muislam lakini nasema pasi na shaka BAKWATA hakuna masheikh kuna majuha waliokosa elimu na wanaofikiria kwa kutumia mikundu yao.
 
Kwahiyo mkuu, point yako kubwa ni kwamba hizi dini ni utapeli? Au?

TUWEKE BAYANA. KAMA NYEUAS NI NYEUSI NA KAMA NYEUPE NI NYEUPE. YANINI KUZUNGUKA MITHIRI YA PIA IZUNGUKAYO ARDHINI?
Dini ni mchongo kama michongo mingine.
 
Tumefundishwa kuheshimu Mamlaka..
Hata mamlaka haramu? Hata kama angekuwa halali cha kwanza ni kusimama kwenye KWELI, dini(for the believers) zinawataka waamini kusimama kwenye kweli no matter what. Unasimama kwenye kweli unafia kwenye kweli, hiyo ndiyo Imani.
Dini hazitaki unafiki, hii hata kwa non believers hypocrisy haikubaliki.
 
Usomi wako wa kindezi sana, hujaelimika Bado🤣🤣🤣
Sasa nielimike nini?? Wakati mnatoa matamko mlikuwa mnafikiri kwa kutumia makalio??
Haya sasa bishaneni na aliyetoa hotuba bungeni akiongelea kutambua maandamano na mauaji!
Tukisema CCM wengi ni vilaza huwa mnabisha.
 
Back
Top Bottom