Hawa wanaoita waandishi ili kupongeza hotuba ya Rais Samia ni vichaa?

Hawa wanaoita waandishi ili kupongeza hotuba ya Rais Samia ni vichaa?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT

Labda mimi siyo mfuatiliaji.

1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea

2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba?

3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona

4. Press huitishwa tu endapo una maoni tofauti na hotuba vinginevyo ni kupotezeana mda
 
Back
Top Bottom