hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Lema, Lissu alikosea sana kukuamini. Ni vile hotuba yako umeitoa ukifahamu hatoachiliwa Nov 6. Sina hakika kama atakuja kukusamehe

    Mh Mwenyekiti Lissu, Kama angekua anataka Maridhiano ,asingekubali kukaa Jela miaka miwili. Asingeyakaa Yale Mabilioni. Asingewaonya mnaomtembelea Lissu Usiku. Asimgetafuta Ukweli, Haki, Uwajibikaji . Harakati za Mwenyekiti Lissu, kama zingeyatizama maisha yake binafsi, Basi asingetafuta...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba hii ya CJ, wazi kwamba hawa wanaolishwa mafundisho ya Yesu watamuumiza Kichwa Mh. Rais

    Mafundisho ya Yesu ni yenye Nguvu mno tofauti na tunavyofikiri. Vitabu vyote vinamtambua kama Neno la Mungu (John 1:1; Quran 4:171) na Mtume pekee yake ambaye hakuwa na dhambi na maisha yake yote hakufanya dhambi (Luka 1:35; Quran 19:19) Mtume pekee aliyefanya miujiza hata kufufua watu (Quran...
  4. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?

    Mwana JF wewe ulichagua njia gani zaidi ya hizi za Mwanasheria wa serikali?
  5. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Katuga: Ni Haki au sio Haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutafsiri hotuba ya Mwenyekiti?

    Wana JF mlitafsiri vipi?
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir ilivyopotoshwa!!!

    Simulizi iliyosambaa kote kwenye vyombo vya habari vya kimataifa inadai kwamba Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir aliitaka Israeli kuwaua "Wapalestina 30 hadi 40" au "watu 30 hadi 40 huko Gaza" kila usiku. Kuna tatizo kubwa na usemi huo: katika podikasti hiyo hiyo, Ben-Gvir...
  7. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mo Simba day nini maoni yako

    Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

    Msikilize HECHE akidadavua moja wapo ya kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba mpya
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hotuba za kishujaa za Rais Dr.Samia S.H., zinahamasisha uzalendo na utayari wa kupambania taifa letu kijasiri dhidi ya maadui wa amani ya taifa letu.

    Ni hotuba ambazo ni za kipekee sana, za kizalendo na kijasiri mno, ambazo kwa kiwango cha juu sana zinahamasisha uzalendo na kufanya waTanzania wote kua tayari kulilinda taifa kwa wivu mkubwa, kwa nguvu zote na gharama yoyote ile. Asante sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa uzalendo wako na kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  13. n00b

    JamiiForums Tanzania Wanajaribu kushindana na Teknolojia, wataweza? Hotuba ya Pavel Durov na Somo kwa Tanzania yetu ya VPN!

    Wakuu kwema? Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24 Durov ametoa hotuba ya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Je, unakumbuka nini ulivyokuwa unasoma hasa kwenye presentation, Imepekelea baadhi ya hotuba za viongozi kuwa na sintofahamu

    Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti. Leo nimekumbuka baadhi ya adha nilizopitia hasa kwenye presentation hii ni kutokana kufuatilia taarifa au hotuba za kiranja mkuu wa...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  16. tucker carlson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii hotuba ya Gavana wa Bungoma Ken Lusaka mbele ya Polisi imewagusa wengi

    Video ya Gavana wa Bungoma, nchini Kenya, Ken Lusaka, imekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwapa ukweli mchungu maafisa wa usalama. Aliyasema hayo Januari 2024 kwenye uzinduzi wa kituo cha “Reinforcement” katika kaunti hiyo. Katika hotuba yake iliyojaa busara na vionjo vya ucheshi, Lusaka...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu, hivi hotuba zako ni kwa ajili ya CCM au taifa?

    Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo. Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu. Kitendo cha kutuambia utekaji na mauwaji ni maigizo ina maana mpaka mlipo jiweka mshatuona nguchiro...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Hotuba Ya Dkt. William Samoei Ruto, Rais Wa Jamhuri Ya Kenya, Mei 5, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu 2026/2027: Tusome katikati ya mistari

    "Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji Serikali. Zingatia: Tarehe mosi Aprili 2026, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
Back
Top Bottom