Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo.
Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu.
Kitendo cha kutuambia utekaji na mauwaji ni maigizo ina maana mpaka mlipo jiweka mshatuona nguchiro alivyo sema msigwa.