Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

Heche kiasili sio msemaji mzu

Kinachofanya abaki kuwa maarufu ni dhuruma ya damu iliyopokwa kwao

Awe makini kutetea upumbavu wake.. Hana maajabu yeyote
 
Heche yupo sahihi kabisa. Ikiwa Rais na Makamu wake wote wanataka katiba na ipo kwenye manifesto ya CCM kwanini wananchi waipiganie? Ni nani huyo wananchi wapigane naye? Kwa maneno na matendo ni samia jinsi anavyojitanabaisha hadharani maama kwa mdomo wake hupati mema labda asimewe na wengine
 
Msikilize HECHE akidadavua moja wapo ya kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba mpya
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Heche kiasili sio msemaji mzu

Kinachofanya abaki kuwa maarufu ni dhuruma ya damu iliyopokwa kwao

Awe makini kutetea upumbavu wake.. Hana maajabu yeyote
Poa chama kilichojengwa na Mzee Mbowe nacho kinambeba sana. Zaidi ya hapo ni mweupe sana kichwani!
 
Heche kiasili sio msemaji mzu

Kinachofanya abaki kuwa maarufu ni dhuruma ya damu iliyopokwa kwao

Awe makini kutetea upumbavu wake.. Hana maajabu yeyote
Mkiwa mnawashwa bora mtafute wanaume tu maana akili zinaondoka
 
Mkiwa mnawashwa bora mtafute wanaume tu maana akili zinaondoka
Dogo leo ni weekend usinitafutie ban.!

Kila mtu ana uhuru wa maoni humu sasa ukija personal nitaruka na wewe.. Maku yako
 
Khaas nalilia Tanganyika bila kuuana wala kutekana
 
Back
Top Bottom