hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene isaka wakati wa Uzinduzi wa Mifumo na Mpango wa Toto Afya Kadi

    HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge – Afya na Ukimwi Katibu Mkuu-Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu...
  2. Bams

    Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

    Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
  3. chiembe

    Pre GE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

    Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
  4. chiembe

    Kwa nini Lissu hajahudhuria msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake hajawahi kumtaja Soka?

    Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
  5. S

    Nyerere alipokuwa anatarajiwa kutoa hotuba, nchi nzima ilikuwa inasubiri kwa hamu. Baada ya Nyerere, leo hii ni Tundu Lissu tu

    Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki: Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku akiwa na shauku ya kutaka kusikia atachosema. Mbali na wanachi, hata vyombo vya habari vya ndani na vya...
  6. S

    Hotuba ya Mwisho ya Profesa Kabudi ndani ya masaa 24 akahamishwa Wizara

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti hasi na...
  7. Makonde plateu

    Abdul karim atiki aichambua hotuba ya warioba

    NAITAFAKARI HOTUBA YA JAJI WARIOBA. KAULI ZAKE ZENYE UTATA, ZINAHITAJI UFAFANUZI! Mzee Joseph Sinde Warioba kitaaluma ni mwanasheria. Msomi wa zamani wa mwanzo wa Chuo kikuu chetu cha Dar es Salaam, kilichoanzia Mtaa wa Lumumba. Kabla ya hapo wanafunzi wote waliotoka Tanganyika, walikwenda...
  8. R

    Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

    Mbowe: 1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani 2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa 3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele 4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti 5. Mahakama zinatuangusha 5. Ongeza Erythrocyte Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya...
  9. Influenza

    Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  10. Annie X6

    SI KWELI Trump ametoa hotuba ya kibaguzi dhidi ya waafrika na Waarabu

    "HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU". Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001. Marekani tunayoijua leo...
  11. Ritz

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  12. Ritz

    Kilio cha Wazayuni dhidi ya Netanyahu.Familia za wanajeshi waliovamia zilisusia hotuba ya Netanyahu kwenye sherehe

    Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
  13. Gabeji

    Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

    Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia jukwaa letu pendwa la Jamiiforums, muda ni kidogo sana kama kawaida yangu ya kuendelea kutoa ushauri...
  14. M

    Pre GE2025 CCM, oneni aibu basi, acheni kuwajaza Wananchi ujinga kwa Kuwahutubia hotuba zenye upotoshaji

    Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni inayowanyima ufahamu, nawataka oneni hata aibu msifikie kiwango mlichofikia cha kuwafanya kama hawana hata...
  15. Eli Cohen

    Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  16. Kalamu Nzito

    Hata Kama Mimi Ndo Mtekaji Kwa Hotuba ile ya Rais Ningekua na Amani

    Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo: 1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji 2. Kuonya, kulaani na kukemea akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu 3. Kutoa amri ya uchunguzi wa haraka kama jambo...
  17. Kichwamoto

    Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  18. S

    Video: Lema ampa somo Rais Samia kufuatia hotuba yake

    Msikilize hapa: https://www.youtube.com/watch?v=HdbNNTiNp_Q&pp=ygUNZ29kYmxlc3MgbGVtYQ%3D%3D
  19. Manyanza

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, alitakiwa kuhudhuria kikao cha UN (UNGA) Lakini amemtuma Waziri Mkuu wa JMT MH. Kassim Majaliwa kumuwakilisha. My take: Tayari Raisi keshaingia hofu kutokana na hotuba yake aliyoitoa juzi kwenye maazimisho ya miaka 60 ya kumbukizi ya...
  20. N

    Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

    RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi inaposherehekea miaka 60, Dodoma inanuka damu.” Aliambatanisha na taarifa ya watu watatu waliouawa na kuchomwa...
Back
Top Bottom