hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkogoti

    Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

    Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
  2. Suley2019

    Marais Wastaafu wa Tanzania wapo Dodoma wakisubiri hotuba ya Rais Magufuli

    Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
  3. Roving Journalist

    Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  4. T

    Tundu Lissu bado unayo nafasi ya kurekebisha hotuba yako! Usiongelee Macro issues kupita kiasi!

    Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako. Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya...
  5. William Mshumbusi

    Uchaguzi 2020 Kwa muelekeo wa hotuba ya Lissu CHADEMA hakiwajui Watanzania kinaweza kisipate hata nusu ya kura ilizopata 2015

    Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani mbinu ya kusaidia chama NI kukisifu tu mitandaoni na sio kukipa mbinu mbadala. Wajue hawaendi kufanya...
  6. technically

    Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

    Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya. Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha...
  7. Lord denning

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

    Amani iwe nanyi Wadau. kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka. Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza...
  8. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

    Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT: KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu; Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Marafiki wa Jamhuri ya...
  9. FRANC THE GREAT

    Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

    Habari! Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa. Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
  10. middo lulyheart

    Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
  11. tatum

    Hotuba ya Hali ya Uchumi ya Tanzania 2018 na Mpango wa Maendeleo wa 2019/2020

    Soma Hotuba yote ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na mpango wa maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/20. Thursday June 13 2019 Soma hotuba yote ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akiwasilisha bungeni taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na mpango wa maendeleo wa...
Back
Top Bottom