Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo?
Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.
Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
HOTUBA YA MHE DK AUGUSTINO LYATONGA MREMA-VUNJO
Ndg Wanavunjo na Watanzania kwa Ujumla, Mimi Augustino Lyatonga Mrema nimehudumu Serikalini kwa awamu zote tano,Leo naomba kusema toka ndani ya moyo wangu kwa hakika Sijawahi ona kiongozi Mchapakazi,Mpenda watu na Mwadilifu kama Dk John Pombe...
Ukipata muda tenga nafasi ya kusikiliza hotuba ya huyu mgombea mwenza wa Joe Biden ( Harris Kamala) Ni Moto wa kuotea mbali na atakuwa tishio kwa Trump kuliko hata Joe Biden mwenyewe na ndio maana Trump ameanza kumu attack kumbe anamjua vizuri.
====
Mgombea wa urais wa chama cha Democratic Joe...
Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi.
Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu.
Kila...
Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi,
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati kabisa kwanza kwa kuamua kuwekeza kwenye ujinga na umasikini wa watanzania ili waendelee kuwatawala...
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.
Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani. ITV wakamzimia sauti.
Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi...
Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu.
Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali.
Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi.
Anaendelea tena kuongea, lakini...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
“Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on...
Wana JF.
Kwa kuwa vyama vyote vilisinyaa na kukosa bashasha na kuweka siasa pembeni ili kupisha Magufuri afanye kazi yake ya kuleta maendeleo.
Vyama vyote viliitikia ingawaje kunavingine vilikuwa haviafiki na kuishia kuwa na migogoro na police. Wengine walifikia hatua ya kufungwa na wengine...
Kwa walioskiza hotuba yake Leo, ni ukweli kwamba ni itaingia katika Historia kama hotuba ya kipekee katika karne ya 21. Mambo aliyotaja, kama Magufuli angemsikiliza angejiuma kidole lakini pia angejifunza mengi.
The new President of Malawi, Lazarus Chakwera, has told the BBC that his win in...
Ni wazi kuwa Benard Membe anaenda upinzani. Mkakati unakamilika tarehe 21 Julai, 2020. Tukae mkao wa mapambano!
Katika inayotarajiwa kuwa hotuba yake Benard Membe anaelezwa kuleta picha kubwa zaidi ya inavyofikirika katika kambi ya upinzani. Katika maelezo yake ataanza na kuelezea kuwa katika...
TUMEMSKIA MH RAIS MAGUFULI LEO?
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo Mh Rais akimuapisha Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya za Morogoro, Monduli na Arusha mjini ametoa hotuba ambayo inaweza kuwa msumali wa moto kwa baadhi ya viongozi. Hotuba ya Mh Rais ilikuwa na dhima nyingi, lakini ninataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.