Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27

HOQxMOrWUAAT4Q_ (1).jpg

Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
 
Unafurahisha
 
Hivi na wewe uliyaamini maneno ya Nchimbi.
I was waiting for a proof! Lazima uwe na base ya kutoyaamini maneno ya fulani. Sasa nimepata base isiyo na mashaka i.e beyond any reasonable doubt!
Maadui hawawezi kukaa hivyo. Lisu hawezi kukaa hivyo na Samia!, angalau kwa sasa, sijui baadaye.
 
Hapo zimekutana taasisi sio watu binafsi. Jitaidi kuelewa mambo madogo madogo km hayo
 
Mwenye kuisafisha vizuri tunaomba wana JF.Maana inaonekana kama picha watu walishakufa ila kama mazombi
 
Wagombea wa CCM 2030 -2035

Dr Emmanuel Nchimbi Rais
Shamsi Vuai Nahodha Makamu wa rais.

Save hii post.
 
Back
Top Bottom