PostGE2025 Hadi muda huu hotuba ya Samia kesho na wazee wa CCM Dar December 2 imeshaharibika. Gen Z watibua kila kitu

PostGE2025 Hadi muda huu hotuba ya Samia kesho na wazee wa CCM Dar December 2 imeshaharibika. Gen Z watibua kila kitu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho.

Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa.
================

Gen-Z tumepokea taarifa hizi tumeona tuwambie yafuatayo wazee wetu.
1. Kwanza tunafahamu hawa sio Wazee wa Dar ifahamike kuwa hawa ni Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar na wanakwenda kukutana na Mwenyekiti wao wa Taifa CCM lakini pamoja na hayo Wazee wa Dar watusaidie kumwambia Samia Suluhu kwamba yeye sio Rais wetu - hatujamchagua, hakuna uchaguzi uliofanyika kwani Gen Z walifanikiwa kuonyesha dunia kuwa hakukuwa na uchaguzi.

2. Wazee Wa Dar watumie fursa hii kumshinikiza Samia Suluhu kujiondoa Madarakani na wamwambie Samia arudi Kizimkazi akalee wajukuu huku akisubiri kuwajibika iwe ndani au Mahakama za Kimataifa kwa mauaji aliyoyafanya tarehe 29-30 October.

3. Wazee Wa Dar wamambie Samia Suluhu aturudishie mateka wote aliowateka kwenye utawala wake, akiwemo mwanachama wake Humphrey Polepole, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi.

4. Wazee wa Dar wamwambie Samia kwamba, atupatie miili ya ndugu zetu tukazike. Kwani kuna familia nyingi hajawapata miili ya Nindugu zao ili wakaizike kwa heshima.

5. Wazee wa Dar wamwambie Samia yeye ni Rais haramu, wabunge ni haramu, madiwani ni haramu na wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji ni haramu.

6. Hakuna neno jipya ambalo atalizungumza Samia Sukuhu zaidi ya maneno aliyoyazungumza ya kuwatisha vijana wasiandamane, tunamwambia Maandamano ya Tarehe 9 Disemba yatakuwa maandamano makubwa ajabu ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya maandamano Afrika na duniani, yatakuwa maandamano ya amani na waandamanaji tutakuwa na mabango tu.

Mwisho, wazee watumie busara zao kumsihi Samia Suluhu kujiulu mapema, kuunga mkono kuundwa kwa Serikali ya Mpito itakayoandaa katiba mpya na baadaye Uchaguzi huru na wa haki chini ya katiba Mpya,na tuwakumbushe Wazee kuwa wao hawawezi kuwa wasemaji wa vijana na hiyo haitazuia vijana kufanya maandamano ya amani kushinikiza Samia Suluhu ajiuzulu ili taifa lifungue ukurasa mpya.
1 DESEMBA 2025
20251201_183905.jpg
 
GT
Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho.

Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa.
View attachment 3510067
Ofisi zao ziko wapi?..wamefanya kikao wakachapa hii,au maria sarungi na Hilda Newton wamekaa wakachapa
 
Father Kitima leo katwambia askari walikuwa wanawaambia madaktari katika hospitali za kanisa wasitibu majeruhi wa risasi. Hii inaonyesha kuwa hawa wauaji walifanya mauaji kwa makusudi kabisa
Hatari sana. Unyama uliofanyika haukubaliki hata kidogo jamani inatia hasira
 
GT
Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho.

Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa.
View attachment 3510067
Muda huu tunairekebisha hotuba ya mama,tupo bize
 
Kwanza ifahamike hawa sio Wazee wa Dar ni Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar na wanakwenda kukutana na Mwenyekiti wao wa Taifa CCM lakini pamoja na hayo Wazee wa Dar watusaidie kumwambia Samia Suluhu kwamba yeye sio Rais wetu - hatujamchagua, hakuna uchaguzi uliofanyika.

G7F6FpkWQAE6RQY.jpg
 
Kwenye hili suala emotions zinazidi logic.

Tatizo sio Samia.

Tatizo ni mfumo na katiba.

Vijana inabidi wapambane kudai katiba mpya na mfumo bora.

Ukipambana kumtoa samia, Tu assume basi akatoka madarakani, Hata akija mtu mwingine akawa Raisi, kwa katiba na mfumo uliopo bado mambo yatakuwa ni yaleyale.

Katiba iliyopo inamuwezesha mtu yeyote ambaye atakuwa Raisi, Awe "Mungu mtu". Kwa hiyo hata ukipambana kumtoa mtu, bila kubadilisha katiba, ni kazi bure.

Mnaweza ndio mkampata Raisi mwingine, lakini kwa katiba iliyopo inayompa Raisi mamlaka makubwa ya kufanya chochote, Hata huyo Raisi mwingine mpya, Anaweza kubadilika ghafla baada ya kupata madaraka na ikawa hakuna kilicho badilika.
 
Apatikane kwanza huyo Rais mwingine atumie kwanza hiyo hiyo katiba iliyokuwepo awanyooshe nayo kwanza haya mafisadi baada ya hapo ndipo ibadilishwe
 
Hili swala la majeruhi kupelekwa mortuary sio tetesi tena. Ni facts

Samia itabidi ali address katika hotuba yake ya wazee wa mchongo.

Mwigulu cha uongo atunge uongo mpya.

Kila lililofanywa gizani linaibuka hadharani.

Mimi nina amini pasi na shaka ile haikuwa massacre ilikuwa ritual killing. Bibi katumia damu ya wa Tanzania ku appease her devils. Na huyu mama akichekewa atatugeuza mifugo yake ya kafara.
 
GT
Leo tarehe 1 Dec watu wanashusha nodo kama hawana akili nzuri yote haya ni kufanya counter attack ya hotuba ya kesho.

Nadhani waandaaji wa hotuba ya Samia wanakazi ya kufanya maana matamko ni mengi mno watakuwa wana edit kila mara. Kitima ndo kawamaliza kabisa.
View attachment 3510067
Mtajijua wenyewe na TEC wenu, mama Samia yuleeeeeee anapiga kazi............hatutoacha kamwe mumharibie kirahisi, labda muanze kuharibikiwa nyie kwanza kabla yake.
 
Back
Top Bottom