Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama
Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma
Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu kamupuuza
Lakin naona kazimwa kabisa baada ya leo TEC kutoka na kutoa tamko lao
Samia Suluhu Hasann hakika umekataliwa mbinguni na dunian
Gwajima alisema utanuka kama kinyesi
LONDON BOY