Nilishangaa H.Hichilema kuchagua upande mapema sana hotuba ya Samia leo imenifumbua macho

Nilishangaa H.Hichilema kuchagua upande mapema sana hotuba ya Samia leo imenifumbua macho

UNSPECIFIED

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
1,166
Reaction score
3,870
Nilishangaa Rais wa Zambia Hichilema kuchagua upande mapema na haraka sana .Na ikizingatiwa naye ni mzee wa fursa yaani mfanyabiashara kumbe wameshajitwalia TAZARA kwa bei ya jioni chini ya mwendeshaji binafsi.

Yaani tutakarabati ikishakuwa safi tunawakabidhi wapige pesa .

Sijui kama wenzangu mmeinasa hiyo code.
 
Back
Top Bottom