Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu...
Mwamba kapita mle mle.
Hii ni ya mwisho sitawaambia tena
🙌🙌😋😋
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya...
Match Day
Simba SC vs Bravos do Maquis FC
Time 1600hrs
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
#Nguvumoja
Updates...
1'
Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos.
3'
Game on
0-0
7'
Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi.
Wanashindwa kudhibiti...
Habari wakuu,
Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus.
Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani.
Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo...
Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20?
- Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara...
Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako.
Mfano.
1.Mtu na mke wa ndoa kugoma kuzaa kisha wanataka ku enjoy lakini wana asili mtoto
2.Kuoa mke zaidi ya...
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu
●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi anaweza kuomba exemption kwa chief justice na kutunukiwa uwakili bila kupita law school, hili hali...
Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza?
Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya kutafuta cheti kingine.
Kwa mujibu wa video hii hiii cheti cha Education kitabaki kama kumbukumbu tu.
Mimi...
Wanakumbi.
Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video .
Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya.
Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF
"Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
Wadau hamjamboni nyote?
Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani?
Karibu utupe uzoefu
Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
Ni majira na Nyakati zimefika kwamba wauwaji Wasiojulikana wameanza kujulikana! Kwa ukimyaa wa Viongozi kukemea na kuchukua hatua inaonyesha ndio Waasisi wa haya mauaji,kulinda utawala wao.
Historia inaonyesha kuwa ukiua watu damu zao zinadai malipo, Viongozi walikufa japo walipenda watawale...
Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu mwanamke amevaa mini skirt, ana tatoo mkononi au shingoni, kichwani ana bleach na mguuni ana kikuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.