how to meditate

  1. LoneJr

    Je, ni kweli meditation inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

    Wakuu, Kuna hili suala la meditation kuhusishwa na mambo ya kuamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana, nimejikuta nikivutiwa na suala hili. Je, ni kweli inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana? Pia soma: The Path of Meditation: Controlling the Mind and Senses
Back
Top Bottom