huduma bora tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
  2. babajeska

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Urasimu na umungu watu ndani ya PSSSF - Dodoma ni kidonda kilichokosa dawa

    Mimi ni mwanachama wa mfuko wa PSSSF niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali, mwaka jana (2024) nilifUatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja humu JamiiForums kuleta kilio changu namshukuru Operation Manager alinisaidia. Pia soma ~ PSSSF...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili Mirembe pokeeni Maua yenu!

    Habari Wana jamiiForums, Nipende kuwapongeza sana madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili iliyopo mkoani Dodoma. Kwa mtazamo wangu, niliposikia hii ni Hospitali ya wagonjwa wa afya ya Akili nilijua madaktari na manesi watakuwa ni watu waliokaa kikatili,hawajali na ni watu wa matusi...
  4. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Je, haitoshi kusema Rais Samia ameshindwa kuwa bora sababu ya huduma mbovu ya umeme?

    Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani? Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni...
Back
Top Bottom