Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM.
WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma.
Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa:
Rushwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi Mkoani humo.
Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao katika siku ya ‘Police Day’ leo Januari 26...
Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
Ninajivunia kutoa;
Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako.
Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea
huduma ya usafi bila usumbufu.
Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
China imekuwa na utaratibu wa kupeleka wataalamu wa afya katika nchi mbalimbali duniani, ambao huungana na wenzao katika nchi husika kutoa huduma za matibabu kwa watu wenye matatizo ya kiafya. Madaktari hao kutoka nchini China, licha ya kuwa na changamoto ya lugha na tamaduni, wameendelea...
Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo.
Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na shughuli zangu. Ila kuna hawa wahudumu wa Sokabet weeee, kwanza sauti zao tu! zinashawishi unatamani hata...
Wakuu moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.
Mimi siyo Chawa wala mtumishi wa BRELA. Mimi ni mdau tu mnufaika wa huduma za BRELA. Kwa wasiojua, BRELA ni Taasisi inayoshughulika na masuala ya usajili wa biashara /kampuni na kutoa leseni za biashara/kampuni nchini.
Mie nimekuwa mnufaika wa...
Kuna mtaalam mmoja huko uingereza aliwahi kusema "Jambo jema likifika kwa wajinga, hugeuka dhahama"
Mfano wa Msemo huu tunaweza kuurejelea kwenye tamthilia ya "The god must be crazy" pale ambapo Chupa iliangushwa kutoka kwenye ndege na kuokotwa na 'Bush man'!
Kwa hali yao ya ujinga, ile chupa...
Habari wadau wa JF?
Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa.
Pia, unaweza kuchangia chochote...
Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako?
i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu.
ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka.
Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali.
Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
MAABARA NI NINI
Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
Good morning future Billionnaires[emoji23]
Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri.
Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.