huduma kwa wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kutumia mifumo ya e-Ardhi na e-Office kwa ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    ARUSHA Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kuzingatia maadili na kuimarisha huduma kwa wananchi

    ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya ardhi Mwanza yaendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia mfumo wa e-ARDHI

    Kupitia maboresho makubwa yanayoendelea kufanyika katika mifumo ya Sekta ya Ardhi, Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mwanza imeendelea kutoa huduma kwa ufanisi kwa wananchi wanaotembelea Kliniki ya Ardhi katika eneo la Misungwi–Usagara mkoani Mwanza. Akizungumza wakati wa Kliniki...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Huduma kwa Wananchi Heshima na Ufanisi

    Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe: Watumishi wa TAMISEMI fanyeni kazi kwa upendo na ushirikiano ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM– TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka watumishi wa OWM- TAMISEMI kufanya kazi kwa bidii, upendo, ushirikiano, pamoja na ubunifu katika utendaji wao ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Prof. Shemdoe...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa aomba Rufiji ipande hadhi kuwa Mkoa, ili kurahisisha huduma kwa wananchi

    Mgombea ubunge wa Rufiji wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa amewasilisha maombi ya wananchi wa jimbo hilo kwa mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi la Rufiji kuwa mkoa ili kurahisisha huduma. Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
  10. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Aga Khan mmekosa utu na kuweka mbele maslahi kuliko huduma kwa wananchi

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji. Ilinistua na nikalazimika kwenda mbali zaidi ili kujua sababu ya suala hilo. Hakika niliumia sana kuona...
Back
Top Bottom