Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano.
Huduma hii inalenga...
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24.
Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
Heshima kwenu Wakuu,
Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.
Huyo jamaa siku ya kwanza...
Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna mtu aliambiwa na mtumishi mmoja wa hapo “Wewe chizi nini! Kwani umezaa na baba yako...?” Kisa...
Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni
Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
Wakuu
Kash Kash karibu na uchaguzi
==
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa
Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini.
Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
Moja kwa Moja kwenye mada husikq
Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care
Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
Kuna wakati unapata dharura ya kuhitaji huduma kwa wateja watatue, unapopiga simu unakuta maelekezo mengi sana (hasa mitandao ya simu) na kisha inakuwa vigumu kusaidiwa.
Kwa nini kusiwe na namba ya moja kwa moja wanapokea huduma kwa wateja?
Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja.
Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna access ya kuzungumza na binadamu ambaye nitaweza muelezea shida yangu direct.
Sina unakika kama hii ni...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
Anonymous
Thread
ardhi
haipatikani
hudumahudumakwawateja
namba
wateja
wizara
wizara ya ardhi
Hawa bolt wamefanikiwa sana kupanua wigo wa biashara yao.
Ukikutana na adha ukahitaji usaidizi, kwenye menu yao ukianza kujaza tu unajibiwa na AI ambapo kunakuwa na gaps na majibu yao.
Nani anahusika na ulinzi wa walaji.
Latra mtuambie kwa huduma hii ya bolt, miundombinu mbinu ya kulinda...
Huduma kwa wateja ni kipengele muhimu katika kutoa huduma kwa kuwasaidia wateja kupata taarifa au utatuzi wa changamoto wanazokutana nazo.
Lakini hapa nchini baadhi ya makampuni yanayotoa huduma mbalimbali yanatutesa sana yaani ufikiaji tu wa huduma kwa wateja unatumia gharama kubwa na bado...
Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuweka program ya elimu ya fedha kuwa endelevu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata uelewa na kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya kifedha.
Wametoa wito huo walipotembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha...
Mwezi huu oktoba ni mwezi wa huduma kwa wateja, ndani ya wiki hii zimeshuhudiwa taasisi nyingi zikiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Huduma kwa Wateja ni sherehe ya kimataifa ya umuhimu wa huduma kwa wateja na ya watu wanaohudumia na kusaidia wateja kila siku . Wiki ya Huduma kwa Wateja...
Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never Daimon, na Mkuu wa Idara ya Mauzo wa Vodacom Business, Rahma Dachi wakiwa wakifurahia mara baada ya kukata utepe...
Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi.
Najaribu kuwapigia simu lakini mtoa huduma hapokei kuongea na mimi na unakuta zinatumika dakika nyingi...
Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu.
Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel.
Mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.