TOTALENERGIES YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAANZA KUSAMBAZA GESI YA KUPIKIA.
Dar es salaam, tarehe 4 Oktoba 2024 – Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, imeamua kumuunga mkono Rais Samia, kwenye kampeni ya nishati bora ya kupikia, kwa kuanza...
Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo...
Ndugu wanajamii,
Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
Benki gani unapiga simu hawapokei na unaambiwa eti utajibiwa haraka kwenye mitandao ya kijamii, mitandao yenyewe ukienda haujibiwi instant.
Benki gani eti miezi miwili net unafatilia mkopo unaambuliwa kupigwa calendar na miyeyusho.
Kuna mtu aliwahi kusema ubora ameondoka nao kimei sasa kweli...
Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja.
Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI
Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
Ukiwa mtu ambae umesafiri sana nje ya nchi,nchi tofauti tofauti utaungana namimi katika hili.
Bongo mtu kaandika namba ya huduma kwenye bango, hiyo namba ukiipiga imewekwa busy au haiko active kabisa. Km imewekwa busy basi upige zaidi ya mara moja,upige hata mara tatu ndo angalau utajibiwa kwa...
Wakuu weekend inaendaje?
Huduma kwa wateja upande wa serikali imekuwa mwiba mchungu, kila kona malalamiko tu ya watoa huduma taasisi hizo kutoridhisha na matarajio ya wateja.
Tukiachana na malalamiko hayo, ni taasisi gani upande wa serikali inafanya vizuri upande wa huduma kwa wateja, yaani...
Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli.
Pia soma: Baadhi ya Taasisi za...
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?
Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni jumatano ya weeki iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani...
Inachukua mpaka masaa mawili pindi unapohitaji kuongea na watoa huduma kwa wateja, je shida ipo wapi?
Uchache wa watoa huduma au ni uzembe wa watoa huduma?
Au kuna tatizo kwenye kituo cha huduma kwa wateja?
Ni NMB BANK
NMB kisa mna namba yangu nilijiunga na NMB Mobile ndio mmeamua kunitumia msg kibabe ata haieleweki.
Huduma gani itakayositishwa? Huduma ya Bank au Mobile? Na itasitishwa hadi lini (kwa muda gani)?
BTW situmiagi huduma zenu ni account ya kuingiza mshahara tu.
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN.
Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
Anonymous
Thread
changamoto
hudumahudumakwawateja
kubwa
mastercard
sana
taarifa
tigopesa
wateja
Dar es Salaam, 07 Juni, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 08 Juni, 2024 na Jumapili tarehe 09 Juni, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa...
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?
Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi...
Anonymous
Thread
bad customer service
customer service
customer service utt
hudumakwawateja
utt amis
Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini?
Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.