Nakutana na changamoto ya taasisi nyingi za serikali, mawasiliano yao (namba za mawasiliano kuwa hazipatikani) wakati ukikwama katika ukamilishaji wa mahitaji katika tovuti zao.
Mfano TaESA ni kwa muda sasa ninashida ya kupata ufafanuzi na maelekezo lakini mawasiliano yao hayapatikani ila...
Taasisi nyingi za Serikali wanakuwa na namba za meza kwa jina simu za waya kama kuna tatizo lolote au mawasiliano kuweza kuwapigia.
Cha kushangaza tokea kuingia matumizi ya simu kiganja kama simu hizi za mezani zimekuwa bure au kero, yaani unaweza kupiga siku nzima wala kutopokelewa wakati...