A
Anonymous
Guest
Nakutana na changamoto ya taasisi nyingi za serikali, mawasiliano yao (namba za mawasiliano kuwa hazipatikani) wakati ukikwama katika ukamilishaji wa mahitaji katika tovuti zao.
Mfano TaESA ni kwa muda sasa ninashida ya kupata ufafanuzi na maelekezo lakini mawasiliano yao hayapatikani ila wameweka namba za mawasiliano.
TaESA (Tanzania Employment Services Agency) ni Kitengo au Wakala wa Huduma za Ajira nchini Tanzania kilicho chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Kazi)
Main Email: [email protected]
Phone Numbers: +255 735 221 022 or +255 739 221 022
Postal Address: P.O. Box 80348, Dar es Salaam, Tanzania
TaESA stands for the Tanzania Employment Services Agency, a government executive agency under the Prime Minister's Office dealing with labor, youth, employment, and persons with disability.
Soma pia:

- Baraza la Madaktari (MCT) kwanini hampokei simu ya huduma kwa wateja?
- Wahusika katika Sekretariet ya Ajira Tanzania kitengo cha Huduma kwa Wateja Kuna shida ya mawasiliano hawatoi Huduma, vijana tuna pata changamoto
- RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu