Unaumwa, una appointment ya kumuona Cardiologist JKCI. Unaambiwa njoo saa 12 asubuhi. Unafika mnakusanywa kwenye mahema mnasubiri Daktari.
Unapewa namba. Unaambiwa Katie Bima. Mnapanga foleni ya Bima. Saa 4 tayari huiamuona Doctor unaambiwa Yuko Wodini Bado. Unakaa unamuona Doctor Saa 7...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu.
Rais Samia...
Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio sahihi.
Nchini China tiba asili ina mchango mkubwa katika ustawishaji wa afya sawa na ilivyo au...
Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya taifa inayoangukia...
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani, Magonjwa ya Akili, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Moyo mfano shinikizo la damu na kiharusi. Kutokana...
Chanzo picha:TechCrunch
Habari yako, mimi ni Hadija Mlacha, Karibu katika makala haya yanayoangazia umuhimu wa sayansi na teknolojia katika afya ya binadamu, yapo mengi ya kujifunza.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamekuwa na mchango mkubwa kwa binadamu katika nyanja zote, hapa namaanisha...
UTANGULIZI
Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika vituo vya afya na hospitali,ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya, malipo bora kwa...
Kama ningepata nafasi ya kuboresha kitu kimoja hapa Tanzania, ingekuwa fursa kwa watu wengi kuinua kiwango cha maisha. Kitu ambacho ningeboresha ni mfumo wa huduma za afya, ambapo ningezipeleka mashinani (ngazi ya kijiji/mtaa), ili watu wengi wafikiwe.
Pamoja na jitihada za serikali kutoa...
Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23, kwani ili iweze kuhudumia wananchi wake ipasavyo ni muhimu kujua takwimu zilizopo na kuzitoa...
Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive.
Nikijikita katika mada,
Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
Watendaji katika Vyuo vya Afya na Hospitali wametakiwa kuwasimamia vizuri Watarajali (Interns) ili kuepusha kutibiwa na watu wasio wa uwezo
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametoa wito huo akisisitiza ubora kwenye Mafunzo yao ili watimize majukumu yao ipasavyo akisema, "Ukiacha...
Habari wadau wa JF?
Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa.
Pia, unaweza kuchangia chochote...
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu...
"Wizara ya Afya kuanza kukagua ubora katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini," hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Profesa, Abel Makubi katika mkutano wa viongozi wa vyama vya kitaaluma vya Afya uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Prof. Makubi amesema kuelekea uboreshaji wa...
Wananchi wa vijiji vya Bungwe, vikonge, Ngomalusambo katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika katika mkoa wa katavi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali na kubwa zaidi ni kokosekana kwa zahanati katika vijiji vyao,.
Wanakijiji wa kutoka kijiji cha Bungwe wamekuwa wakisafiri umbali wa...
Nimeona kwenye news kuwa serikali imefanya malipo ya ndege tano mpya. Dreamliner moja, boeing 737-9 mbili na Dash 8 q 400 moja. Malipo haya kwa haraka haraka yanakadiliwa kugharimu zaidi ya tril 1.8.
Kwa jinsi watanzania wanavyohangaika kupata huduma za afya ni bora pesa hizi zingewekezwa...
Huduma za Msingi za Afya zikiwemo programu za Chanjo na matibabu ya magonjwa kama UKIMWI ziliripotiwa kuathiriwa kwa 92% katika Nchi 129.
Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu athari za janga la COVID-19 uliofanywa kati ya Novemba - Desemba 2021 umeonesha huduma ziliathiriwa kwa kiasi...
Utangulizi
Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
Habari,
Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini
Nitatoa mifano hapa
A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.