Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Denis Londo (Mb), ameipongeza Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa hatua ilizochukua kuboresha Mfumo wa Huduma kwa Njia ya Mtandao (BRELA Online Services – BOS), huku akisisitiza kukamilisha maboresho kwa wakati ili kuongeza ufanisi na...