Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kupitia madaktari wake bingwa na bobezi wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika kambi maalum ya matibabu inayoendelea mkoani Arusha.
Wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa jirani...