Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema mara baada...
Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30 na hatimaye kufikia tamati.
Hayo yalijiri Februari 8,2025 baada ya timu hiyo kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, taarifa ya utendaji kazi ya...
Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria.
Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.